1 Samweli 19:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Mwishowe yeye pia akaenda Rama. Alipofika kwenye tangi kubwa la maji lililoko Seku, akauliza: “Samweli na Daudi wako wapi?” Wakamjibu: “Wako Naiothi+ kule Rama.”
22 Mwishowe yeye pia akaenda Rama. Alipofika kwenye tangi kubwa la maji lililoko Seku, akauliza: “Samweli na Daudi wako wapi?” Wakamjibu: “Wako Naiothi+ kule Rama.”