-
1 Samweli 19:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Sauli alipokuwa njiani kutoka huko kwenda Naiothi kule Rama, roho ya Mungu ikamjia pia, naye akatembea huku akitenda kama nabii mpaka alipoingia Naiothi kule Rama.
-