1 Samweli 19:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Naye akaendelea na safari yake kutoka hapo mpaka Naiothi katika Rama, na roho+ ya Mungu ikaja juu yake, ndiyo, juu yake, naye akaendelea kutembea na kutenda kama nabii mpaka alipoingia Naiothi katika Rama.
23 Naye akaendelea na safari yake kutoka hapo mpaka Naiothi katika Rama, na roho+ ya Mungu ikaja juu yake, ndiyo, juu yake, naye akaendelea kutembea na kutenda kama nabii mpaka alipoingia Naiothi katika Rama.