1 Samweli 20:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Mfalme alikuwa ameketi mahali pake alipoketi kwa kawaida karibu na ukuta. Yonathani aliketi kumwelekea, na Abneri+ aliketi kando ya Sauli, lakini mahali pa Daudi palikuwa wazi.
25 Mfalme alikuwa ameketi mahali pake alipoketi kwa kawaida karibu na ukuta. Yonathani aliketi kumwelekea, na Abneri+ aliketi kando ya Sauli, lakini mahali pa Daudi palikuwa wazi.