1 Samweli 20:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Kisha Sauli akamkasirikia Yonathani na kumwambia: “Wewe mwana wa mwanamke mwasi, unafikiri sijui kwamba umeamua kumuunga mkono mwana wa Yese, kwa aibu yako mwenyewe na kwa aibu ya mama yako?*
30 Kisha Sauli akamkasirikia Yonathani na kumwambia: “Wewe mwana wa mwanamke mwasi, unafikiri sijui kwamba umeamua kumuunga mkono mwana wa Yese, kwa aibu yako mwenyewe na kwa aibu ya mama yako?*