1 Samweli 20:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Ndipo hasira+ ya Sauli ikawaka juu ya Yonathani naye akamwambia: “Wewe mwana wa mjakazi mwasi,+ je, mimi sijui vema kwamba unamchagua mwana wa Yese, kwa aibu yako mwenyewe na kwa aibu ya sehemu za siri za mama yako?+
30 Ndipo hasira+ ya Sauli ikawaka juu ya Yonathani naye akamwambia: “Wewe mwana wa mjakazi mwasi,+ je, mimi sijui vema kwamba unamchagua mwana wa Yese, kwa aibu yako mwenyewe na kwa aibu ya sehemu za siri za mama yako?+