1 Samweli 20:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Yonathani akainuka mara moja kutoka mezani akiwa amekasirika sana, naye hakula chakula chochote siku ya pili baada ya mwezi mpya, kwa maana alikuwa amehuzunika sana kwa sababu ya Daudi+ na kwa sababu baba yake mwenyewe alikuwa amemwaibisha.
34 Yonathani akainuka mara moja kutoka mezani akiwa amekasirika sana, naye hakula chakula chochote siku ya pili baada ya mwezi mpya, kwa maana alikuwa amehuzunika sana kwa sababu ya Daudi+ na kwa sababu baba yake mwenyewe alikuwa amemwaibisha.