-
1 Samweli 20:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Akamwambia mtumishi wake: “Tafadhali kimbia utafute mishale nitakayopiga.” Mtumishi huyo akakimbia, kisha Yonathani akapiga mshale mbele yake.
-