1 Samweli 20:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Naye akamwambia mtumishi wake: “Tafadhali kimbia, tafuta ile mishale ninayopiga.”+ Mtumishi akakimbia, naye akapiga mshale ili umpite, uende mbele yake.
36 Naye akamwambia mtumishi wake: “Tafadhali kimbia, tafuta ile mishale ninayopiga.”+ Mtumishi akakimbia, naye akapiga mshale ili umpite, uende mbele yake.