-
1 Samweli 20:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Yonathani akaendelea kumwambia mtumishi huyo kwa sauti: “Fanya haraka! Kimbia! Usikawie!” Mtumishi wa Yonathani akaiokota ile mishale na kurudi kwa bwana wake.
-