-
1 Samweli 20:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Naye Yonathani akaendelea kuita kutoka nyuma ya mtumishi: “Upesi! Fanya haraka! Usisimame tuli!” Na yule mtumishi wa Yonathani akaiokota ile mishale, kisha akarudi kwa bwana wake.
-