-
1 Samweli 22:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Mara moja mfalme akaagiza Ahimeleki mwana wa kuhani Ahitubu na makuhani wote wa nyumba ya baba yake waliokuwa Nobu waitwe. Basi wote wakaja kwa mfalme.
-