1 Samweli 22:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Mara moja mfalme akatuma watu wamwite Ahimeleki mwana wa Ahitubu kuhani na nyumba yote ya baba yake, makuhani waliokuwa katika Nobu.+ Basi wote wakaja kwa mfalme.
11 Mara moja mfalme akatuma watu wamwite Ahimeleki mwana wa Ahitubu kuhani na nyumba yote ya baba yake, makuhani waliokuwa katika Nobu.+ Basi wote wakaja kwa mfalme.