1 Samweli 23:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mara moja Daudi akainuka pamoja na wanaume wake, wapatao 600,+ wakaondoka Keila na kwenda popote walipoweza kwenda. Sauli alipoambiwa kwamba Daudi ametoroka Keila, hakumfuatia.
13 Mara moja Daudi akainuka pamoja na wanaume wake, wapatao 600,+ wakaondoka Keila na kwenda popote walipoweza kwenda. Sauli alipoambiwa kwamba Daudi ametoroka Keila, hakumfuatia.