Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 22:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi Daudi akaondoka huko+ na kukimbilia katika pango la Adulamu.+ Ndugu zake na nyumba yote ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakashuka na kumfuata huko. 2 Na watu wote waliokuwa na shida na madeni na malalamishi* wakakusanyika kwake, akawa kiongozi wao. Watu 400 hivi walikuwa pamoja naye.

  • 1 Samweli 25:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mara moja Daudi akawaambia wanaume wake: “Kila mtu ajifunge upanga wake!”+ Basi wote wakajifunga panga zao, na Daudi pia akajifunga upanga wake mwenyewe, na wanaume wapatao 400 wakapanda pamoja na Daudi, huku wanaume 200 wakibaki na mizigo.

  • 1 Samweli 30:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mara moja Daudi akaondoka na wanaume 600+ waliokuwa pamoja naye, wakaenda mpaka kwenye Korongo* la Besori, na wanaume kadhaa wakabaki hapo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki