1 Samweli 23:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mara moja Daudi akainuka pamoja na wanaume wake, wapatao 600,+ wakaondoka Keila na kwenda popote walipoweza kwenda. Sauli alipoambiwa kwamba Daudi ametoroka Keila, hakumfuatia. 1 Samweli 27:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi Daudi akaondoka pamoja na wanaume 600+ waliokuwa naye, akavuka kwenda kwa Akishi+ mwana wa Maoki, mfalme wa Gathi.
13 Mara moja Daudi akainuka pamoja na wanaume wake, wapatao 600,+ wakaondoka Keila na kwenda popote walipoweza kwenda. Sauli alipoambiwa kwamba Daudi ametoroka Keila, hakumfuatia.
2 Basi Daudi akaondoka pamoja na wanaume 600+ waliokuwa naye, akavuka kwenda kwa Akishi+ mwana wa Maoki, mfalme wa Gathi.