1 Samweli 24:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Basi Daudi akawazuia* wanaume wake kwa maneno hayo, naye hakuwaruhusu wamshambulie Sauli. Sauli akaondoka pangoni na kwenda zake.
7 Basi Daudi akawazuia* wanaume wake kwa maneno hayo, naye hakuwaruhusu wamshambulie Sauli. Sauli akaondoka pangoni na kwenda zake.