-
1 Samweli 25:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa hiyo Daudi akawatuma vijana kumi wanaume waende kwa Nabali, akawaambia: “Pandeni mwende Karmeli, na mtakapofika kwa Nabali, mjulieni hali yake kwa jina langu.
-