-
1 Samweli 26:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Basi Daudi na Abishai wakaenda kwa jeshi hilo usiku, wakamkuta Sauli amelala ndani ya kambi mkuki wake ukiwa umedungwa ardhini karibu na kichwa chake; Abneri na wanajeshi walikuwa wamelala kumzunguka Sauli.
-