-
1 Samweli 26:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Na Daudi akaondoka pamoja na Abishai kwenda kwa wale watu wakati wa usiku; na tazama! Sauli alikuwa amelala katika uwanja wa kambi, huku mkuki wake ukiwa umechomekwa chini penye kichwa chake, na Abneri na watu walikuwa wamelala kumzunguka.
-