1 Samweli 26:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Daudi akamwambia Abneri: “Je, wewe si mwanamume? Na ni nani aliye kama wewe katika Israeli? Kwa nini basi hukumlinda bwana wako mfalme? Kwa sababu mwanajeshi mmoja aliingia kambini ili kumwangamiza bwana wako mfalme.+
15 Daudi akamwambia Abneri: “Je, wewe si mwanamume? Na ni nani aliye kama wewe katika Israeli? Kwa nini basi hukumlinda bwana wako mfalme? Kwa sababu mwanajeshi mmoja aliingia kambini ili kumwangamiza bwana wako mfalme.+