1 Samweli 26:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Na Daudi akaendelea kumwambia Abneri: “Je, wewe si mwanamume? Na ni nani aliye kama wewe katika Israeli? Kwa nini, basi, hukumlinda bwana wako mfalme? Kwa sababu mmoja wa watu aliingia ili kumwangamiza mfalme bwana wako.+
15 Na Daudi akaendelea kumwambia Abneri: “Je, wewe si mwanamume? Na ni nani aliye kama wewe katika Israeli? Kwa nini, basi, hukumlinda bwana wako mfalme? Kwa sababu mmoja wa watu aliingia ili kumwangamiza mfalme bwana wako.+