-
1 Samweli 28:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Sasa, tafadhali, sikiliza maneno ninayotaka kukwambia mimi mtumishi wako. Acha nikuandalie kipande cha mkate, ule ili upate nguvu za kuendelea na safari.”
-