-
1 Samweli 28:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na sasa, tafadhali, wewe pia uitii sauti ya mjakazi wako; na acha niweke mbele yako kipande cha mkate, nawe ule, ili upate nguvu, kwa sababu utaenda zako.”
-