-
1 Samweli 28:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Lakini akakataa na kusema: “Sitakula.” Hata hivyo, watumishi wake na pia mwanamke huyo wakaendelea kumsihi ale. Mwishowe akawasikiliza, akainuka kutoka ardhini na kuketi kitandani.
-