-
1 Samweli 28:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Lakini akakataa na kusema: “Sitakula.” Hata hivyo, watumishi wake na pia yule mwanamke wakazidi kumsihi. Mwishowe akaitii sauti yao, akainuka kutoka chini na kuketi juu ya kiti.
-