1 Samweli 28:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Mwanamke huyo alikuwa na ndama aliyenona nyumbani mwake, basi akamchinja* haraka, akachukua unga, akaukanda na kuoka mikate isiyo na chachu.
24 Mwanamke huyo alikuwa na ndama aliyenona nyumbani mwake, basi akamchinja* haraka, akachukua unga, akaukanda na kuoka mikate isiyo na chachu.