1 Samweli 28:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Basi yule mwanamke alikuwa na ndama aliyenoneshwa+ nyumbani. Kwa hiyo akamchinja haraka,+ akachukua unga, akaukanda na kuoka keki zisizo na chachu.
24 Basi yule mwanamke alikuwa na ndama aliyenoneshwa+ nyumbani. Kwa hiyo akamchinja haraka,+ akachukua unga, akaukanda na kuoka keki zisizo na chachu.