-
1 Samweli 30:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Sasa Daudi akamuuliza: “Wewe ni mtumishi wa nani, na unatoka wapi?” akajibu: “Mimi ni mtumishi Mmisri, mtumwa wa Mwamaleki fulani, lakini bwana wangu aliniacha kwa sababu nilishikwa na ugonjwa siku tatu zilizopita.
-