-
2 Samweli 2:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kila mmoja alimkamata mwenzake kichwani na kumchoma kwa upanga ubavuni, na wote wakaanguka pamoja. Basi mahali hapo huko Gibeoni pakaitwa Helkath-hasurimu.
-