-
2 Samweli 4:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Walipoingia nyumbani, alikuwa amelala kitandani mwake katika chumba chake cha kulala, wakampiga na kumuua, kisha wakamkata kichwa. Halafu wakakichukua na kutembea usiku kucha kwenye barabara inayoenda Araba.
-