2 Samweli 10:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Basi Hadadezeri+ akaagiza Wasiria kutoka katika eneo la Mto Efrati+ waletwe, nao wakaja Helamu, wakiongozwa na Shobaki mkuu wa jeshi la Hadadezeri.
16 Basi Hadadezeri+ akaagiza Wasiria kutoka katika eneo la Mto Efrati+ waletwe, nao wakaja Helamu, wakiongozwa na Shobaki mkuu wa jeshi la Hadadezeri.