-
2 Samweli 11:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kwa hiyo Daudi akaambiwa: “Uria hakushuka kwenda nyumbani kwake.” Ndipo Daudi akamuuliza Uria: “Umetoka safarini, sivyo? Kwa nini hukushuka kwenda nyumbani kwako?”
-