-
2 Samweli 11:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kwa hiyo wakamwambia Daudi: “Uria hakushuka kwenda nyumbani kwake.” Ndipo Daudi akamwambia Uria: “Umefika kutoka safarini, sivyo? Kwa nini hukushuka kwenda nyumbani kwako?”
-