Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 11
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Samweli 11:1

Marejeo

  • +1Fa 20:22; 2Nya 36:10
  • +1Sa 8:20; Mhu 3:8
  • +1Nya 20:1
  • +2Sa 12:26

2 Samweli 11:2

Marejeo

  • +1Sa 9:26; Mdo 10:9
  • +Ayu 31:1; Met 5:20; Mt 5:28
  • +Met 6:25

2 Samweli 11:3

Marejeo

  • +1Ko 10:12; Yak 1:14
  • +2Sa 12:24; 1Fa 1:11
  • +1Nya 3:5
  • +2Sa 23:39; 1Fa 15:5; 1Nya 11:41
  • +Mwa 10:15; 15:20; Kum 20:17

2 Samweli 11:4

Marejeo

  • +Kut 20:17; Law 19:11; 1Ko 7:1
  • +Mhu 8:4
  • +Kut 20:14; Law 18:20; 20:10; Kum 22:22; Met 6:32; Ebr 13:4; Yak 1:15
  • +Law 12:2; 15:19, 29; 18:19

2 Samweli 11:8

Marejeo

  • +1Sa 25:41

2 Samweli 11:11

Marejeo

  • +2Sa 6:17; 7:2
  • +2Sa 20:6
  • +Law 15:16; Kum 23:9; 1Sa 21:5
  • +1Sa 17:55; 20:3; 25:26; 2Sa 14:19

2 Samweli 11:13

Marejeo

  • +Mwa 19:33; Met 20:1; Ho. 4:11

2 Samweli 11:14

Marejeo

  • +Zb 19:13

2 Samweli 11:15

Marejeo

  • +Mhu 8:4
  • +1Sa 18:17, 25
  • +2Sa 12:9; Zb 51:14; Met 3:29; 17:13; Zek 8:17; Mk 7:21

2 Samweli 11:16

Marejeo

  • +Law 19:17; 1Nya 21:3

2 Samweli 11:17

Marejeo

  • +2Sa 12:9

2 Samweli 11:21

Marejeo

  • +Amu 9:52
  • +Amu 6:32; 7:1
  • +Amu 9:53
  • +Amu 9:50
  • +2Sa 3:34; 11:3

2 Samweli 11:24

Marejeo

  • +2Nya 26:15
  • +2Sa 11:17

2 Samweli 11:25

Marejeo

  • +2Sa 2:26; Isa 1:20; Yer 2:30; 46:10
  • +2Sa 12:26

2 Samweli 11:26

Marejeo

  • +2Sa 3:31
  • +Mwa 20:3; Yoe 1:8

2 Samweli 11:27

Marejeo

  • +1Sa 31:13
  • +2Sa 5:13; 12:9
  • +Mwa 39:9; Zb 5:6; Ebr 13:4
  • +1Fa 15:5; 1Nya 21:7; Zb 11:4; Yer 32:19; Ebr 4:13

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Sam. 11:11Fa 20:22; 2Nya 36:10
2 Sam. 11:11Sa 8:20; Mhu 3:8
2 Sam. 11:11Nya 20:1
2 Sam. 11:12Sa 12:26
2 Sam. 11:21Sa 9:26; Mdo 10:9
2 Sam. 11:2Ayu 31:1; Met 5:20; Mt 5:28
2 Sam. 11:2Met 6:25
2 Sam. 11:31Ko 10:12; Yak 1:14
2 Sam. 11:32Sa 12:24; 1Fa 1:11
2 Sam. 11:31Nya 3:5
2 Sam. 11:32Sa 23:39; 1Fa 15:5; 1Nya 11:41
2 Sam. 11:3Mwa 10:15; 15:20; Kum 20:17
2 Sam. 11:4Kut 20:17; Law 19:11; 1Ko 7:1
2 Sam. 11:4Mhu 8:4
2 Sam. 11:4Kut 20:14; Law 18:20; 20:10; Kum 22:22; Met 6:32; Ebr 13:4; Yak 1:15
2 Sam. 11:4Law 12:2; 15:19, 29; 18:19
2 Sam. 11:81Sa 25:41
2 Sam. 11:112Sa 6:17; 7:2
2 Sam. 11:112Sa 20:6
2 Sam. 11:11Law 15:16; Kum 23:9; 1Sa 21:5
2 Sam. 11:111Sa 17:55; 20:3; 25:26; 2Sa 14:19
2 Sam. 11:13Mwa 19:33; Met 20:1; Ho. 4:11
2 Sam. 11:14Zb 19:13
2 Sam. 11:15Mhu 8:4
2 Sam. 11:151Sa 18:17, 25
2 Sam. 11:152Sa 12:9; Zb 51:14; Met 3:29; 17:13; Zek 8:17; Mk 7:21
2 Sam. 11:16Law 19:17; 1Nya 21:3
2 Sam. 11:172Sa 12:9
2 Sam. 11:21Amu 9:52
2 Sam. 11:21Amu 6:32; 7:1
2 Sam. 11:21Amu 9:53
2 Sam. 11:21Amu 9:50
2 Sam. 11:212Sa 3:34; 11:3
2 Sam. 11:242Nya 26:15
2 Sam. 11:242Sa 11:17
2 Sam. 11:252Sa 2:26; Isa 1:20; Yer 2:30; 46:10
2 Sam. 11:252Sa 12:26
2 Sam. 11:262Sa 3:31
2 Sam. 11:26Mwa 20:3; Yoe 1:8
2 Sam. 11:271Sa 31:13
2 Sam. 11:272Sa 5:13; 12:9
2 Sam. 11:27Mwa 39:9; Zb 5:6; Ebr 13:4
2 Sam. 11:271Fa 15:5; 1Nya 21:7; Zb 11:4; Yer 32:19; Ebr 4:13
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Samweli 11:1-27

2 Samweli

11 Na ikawa kwamba mwanzoni mwa mwaka,+ wakati ambapo wafalme hufanya mashambulizi,+ Daudi akamtuma Yoabu na watumishi wake pamoja naye na Israeli wote, ili wawaangamize wana wa Amoni+ na kuzingira Raba,+ Daudi alipokuwa anakaa Yerusalemu.

2 Na ikawa wakati wa jioni kwamba Daudi akaamka kutoka kitandani mwake, akatembea huku na huku juu ya dari+ ya nyumba ya mfalme; na kutoka juu ya dari akamwona+ mwanamke akioga, na mwanamke huyo alikuwa mwenye sura nzuri sana.+ 3 Ndipo Daudi akatuma watu na kuuliza habari za mwanamke+ huyo, na mtu fulani akasema: “Je, huyu si Bath-sheba,+ binti ya Eliamu,+ mke wa Uria+ Mhiti?”+ 4 Kisha Daudi akatuma wajumbe ili yeye amchukue.+ Basi mwanamke huyo akaja, akaingia kwake,+ akalala naye,+ wakati alipokuwa akijitakasa kutoka katika uchafu wake.+ Baadaye mwanamke huyo akarudi nyumbani kwake.

5 Na mwanamke huyo akapata mimba. Basi akatuma ujumbe na kumwambia Daudi: “Nina mimba.” 6 Kwa hiyo Daudi akatuma ujumbe kwa Yoabu, akisema: “Mtume kwangu Uria Mhiti.” Basi Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi. 7 Uria alipokuja kwake, Daudi akaanza kuuliza hali ya Yoabu na hali ya watu na hali ya vita. 8 Mwishowe Daudi akamwambia Uria: “Shuka, nenda nyumbani kwako, uoshe miguu yako.”+ Basi Uria akatoka katika nyumba ya mfalme, na zawadi ya fadhili ya mfalme ikaletwa nyuma yake. 9 Hata hivyo, Uria akalala mlangoni pa nyumba ya mfalme pamoja na watumishi wengine wote wa bwana wake, naye hakushuka kwenda nyumbani kwake mwenyewe. 10 Kwa hiyo wakamwambia Daudi: “Uria hakushuka kwenda nyumbani kwake.” Ndipo Daudi akamwambia Uria: “Umefika kutoka safarini, sivyo? Kwa nini hukushuka kwenda nyumbani kwako?” 11 Ndipo Uria akamwambia Daudi: “Lile Sanduku+ na Israeli na Yuda wanakaa katika vibanda, na Yoabu bwana wangu na watumishi wa bwana wangu+ wanapiga kambi juu ya uso wa pori, nami—niende nyumbani kwangu kula na kunywa na kulala na mke wangu?+ Kama unavyoishi na kama nafsi yako inavyoishi,+ sitafanya jambo hili!”

12 Ndipo Daudi akamwambia Uria: “Kaa hapa leo pia, nami kesho nitakuacha uende.” Kwa hiyo Uria akaendelea kukaa Yerusalemu siku hiyo na pia siku iliyofuata. 13 Zaidi ya hayo, Daudi akamwita ili ale chakula na kunywa mbele yake. Basi akamfanya alewe.+ Hata hivyo, akatoka nje jioni na kulala kitandani mwake pamoja na watumishi wa bwana wake, wala hakushuka kwenda nyumbani kwake. 14 Na ikawa asubuhi kwamba Daudi akamwandikia Yoabu barua,+ akaituma kwa mkono wa Uria. 15 Kwa hiyo akaandika katika barua hiyo, akisema:+ “Mwekeni Uria mbele ya mashambulio makali zaidi ya kivita,+ nanyi mtoke nyuma yake, apigwe, afe.”+

16 Na ikawa, Yoabu alipokuwa akililinda jiji, akamweka Uria mahali ambapo alijua kwamba kuna wanaume mashujaa.+ 17 Wanaume wa jiji walipotoka nje na kupigana na Yoabu, ndipo baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka na pia Uria Mhiti akafa.+ 18 Sasa Yoabu akatuma habari kwa Daudi kuhusu habari zote za vita. 19 Naye akamwamuru mjumbe, akisema: “Mara utakapomaliza kumwambia mfalme habari zote za vita, 20 basi na itukie kwamba ghadhabu ya mfalme ikiwaka naye akuambie, ‘Kwa nini mlienda karibu sana na jiji kupigana? Je, hamkujua kwamba watapiga mishale kutoka juu ya ukuta? 21 Ni nani aliyempiga Abimeleki+ mwana wa Yerubeshethi?+ Je, hakuwa mwanamke aliyemtupia jiwe la juu la kusagia+ kutoka juu ya ukuta, hivi kwamba akafa kule Thebesi?+ Kwa nini mlienda karibu sana na ukuta?’ ndipo nawe useme, ‘Mtumishi wako Uria Mhiti alikufa pia.’”+

22 Basi yule mjumbe akaenda, akaja na kumwambia Daudi mambo yote ambayo Yoabu alikuwa amemtuma. 23 Na yule mjumbe akaendelea kumwambia Daudi: “Watu wale walikuwa na nguvu kuliko sisi, nao wakatoka kuja juu yetu shambani; lakini tukaendelea kuwakaza mpaka kwenye mwingilio wa lango. 24 Na wapiga-mishale wakaendelea kuwapiga watumishi wako kutoka juu ya ukuta,+ hivi kwamba baadhi ya watumishi wa mfalme wakafa; na mtumishi wako Uria Mhiti akafa pia.”+ 25 Ndipo Daudi akamwambia yule mjumbe: “Utamwambia Yoabu, ‘Usiache jambo hili liwe baya machoni pako, kwa maana upanga humla+ huyu na pia yule. Zidisha pigano lako juu ya jiji hilo, uliangushe.’+ Nawe umtie moyo.”

26 Na mke wa Uria akasikia kwamba Uria mume wake amekufa, naye akaanza kumlilia+ mume wake.+ 27 Kipindi cha kuomboleza+ kilipokuwa kimepita, mara moja Daudi akatuma watu na kumchukua yule mwanamke, akamleta katika nyumba yake, naye akawa mke wake.+ Baada ya muda akamzalia mwana, lakini lile jambo ambalo Daudi alikuwa amefanya likawa baya+ machoni pa Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki