-
2 Samweli 11:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Basi Daudi akamwambia Uria: “Kaa hapa leo pia, na kesho nitakuruhusu uende.” Kwa hiyo Uria akakaa Yerusalemu siku hiyo na siku iliyofuata.
-