-
2 Samweli 11:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo Daudi akamwambia Uria: “Kaa hapa leo pia, nami kesho nitakuacha uende.” Kwa hiyo Uria akaendelea kukaa Yerusalemu siku hiyo na pia siku iliyofuata.
-