2 Samweli 11:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Ndipo Daudi akamwambia mjumbe huyo: “Mwambie hivi Yoabu: ‘Jambo hili lisikuhangaishe, kwa maana upanga humnyafua huyu na pia yule. Zidisheni mashambulizi dhidi ya jiji na mlishinde.’+ Nawe umtie moyo.”
25 Ndipo Daudi akamwambia mjumbe huyo: “Mwambie hivi Yoabu: ‘Jambo hili lisikuhangaishe, kwa maana upanga humnyafua huyu na pia yule. Zidisheni mashambulizi dhidi ya jiji na mlishinde.’+ Nawe umtie moyo.”