2 Samweli 11:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Ndipo Daudi akamwambia yule mjumbe: “Utamwambia Yoabu, ‘Usiache jambo hili liwe baya machoni pako, kwa maana upanga humla+ huyu na pia yule. Zidisha pigano lako juu ya jiji hilo, uliangushe.’+ Nawe umtie moyo.”
25 Ndipo Daudi akamwambia yule mjumbe: “Utamwambia Yoabu, ‘Usiache jambo hili liwe baya machoni pako, kwa maana upanga humla+ huyu na pia yule. Zidisha pigano lako juu ya jiji hilo, uliangushe.’+ Nawe umtie moyo.”