-
2 Samweli 11:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Halafu Daudi akaagiza aitwe ili ale na kunywa pamoja naye, akamfanya alewe. Lakini jioni, Uria alienda kulala kitandani mwake pamoja na watumishi wa bwana wake, naye hakushuka kwenda nyumbani kwake.
-