2 Samweli 11:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Zaidi ya hayo, Daudi akamwita ili ale chakula na kunywa mbele yake. Basi akamfanya alewe.+ Hata hivyo, akatoka nje jioni na kulala kitandani mwake pamoja na watumishi wa bwana wake, wala hakushuka kwenda nyumbani kwake.
13 Zaidi ya hayo, Daudi akamwita ili ale chakula na kunywa mbele yake. Basi akamfanya alewe.+ Hata hivyo, akatoka nje jioni na kulala kitandani mwake pamoja na watumishi wa bwana wake, wala hakushuka kwenda nyumbani kwake.