-
2 Samweli 12:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Watumishi wake wakamuuliza: “Kwa nini umefanya hivi? Mtoto alipokuwa hai, ulifunga na kulia daima; lakini mara tu mtoto alipokufa ukainuka na kula chakula.”
-