-
2 Samweli 12:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Basi watumishi wake wakamwambia: “Ni nini maana ya jambo hili ambalo umefanya? Ulifunga na ulikuwa ukimlilia mtoto alipokuwa hai; na mara tu mtoto alipokufa ukasimama, ukaanza kula mkate.”
-