-
2 Samweli 13:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Amnoni akalala kitandani na kujifanya mgonjwa, hivyo mfalme akaja kumwona. Ndipo Amnoni akamwambia mfalme: “Tafadhali, mruhusu dada yangu Tamari aje kuniokea keki mbili zenye umbo la moyo mbele ya macho yangu, ili nichukue chakula kutoka mkononi mwake.”
-