-
2 Samweli 13:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Basi Tamari akaenda katika nyumba ya ndugu yake Amnoni, alimokuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda na kuoka keki mbele ya Amnoni.
-