-
2 Samweli 13:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha Amnoni akaanza kumchukia kwa chuki kali sana, hivi kwamba chuki hiyo ikawa kubwa sana kuliko upendo aliokuwa nao mwanzoni kumwelekea. Amnoni akamwambia: “Inuka; nenda zako!”
-