-
2 Samweli 13:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Na Amnoni akaanza kumchukia kwa chuki kubwa sana, kwa sababu chuki aliyomchukia ilikuwa kubwa kuliko upendo aliompenda, hata Amnoni akamwambia: “Ondoka, nenda zako!”
-