-
2 Samweli 13:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Ndipo Tamari akamwambia: “Usinifukuze, ndugu yangu, kwa maana kitendo cha kunifukuza sasa ni kibaya zaidi kuliko jambo ulilonitendea!” Lakini Amnoni akakataa kumsikiliza.
-