-
2 Samweli 13:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye akamwambia: “Hapana, ndugu yangu; kwa maana ubaya huu wa kunifukuza ni mkubwa kuliko ule ubaya ambao umenitendea!” Lakini hakukubali kumsikiliza.
-