2 Samweli 13:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 (Sasa Tamari alikuwa amevaa joho la pekee,* kwa maana hayo ndiyo mavazi yaliyovaliwa na mabinti wa mfalme waliokuwa mabikira.) Kwa hiyo mtumishi huyo akamtoa nje na kufunga mlango.
18 (Sasa Tamari alikuwa amevaa joho la pekee,* kwa maana hayo ndiyo mavazi yaliyovaliwa na mabinti wa mfalme waliokuwa mabikira.) Kwa hiyo mtumishi huyo akamtoa nje na kufunga mlango.